Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Huyu dogo bado anawasha moto somewhere...
wenye kabila lao.......sijui wamasai au wale jamaa
View attachment 1459593
Ningesema wasukuma wana tabia hii lakini Ngosha Ze Don atajisikia vibaya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
wachochea moto....ila mzee don hata kama utamletea ishu ya uchochezi basi anakuja na jibu la kuzidisha utani...
hahahaaaa jamaa ni wa ajabu sana....
utasikia wasukuma kwa ushambaaaa....picha kubwa mbele
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Jamaa ni akili kubwa sana yule, tunajivunia kuwa nae hapa, wenye hadhi yake wamejaa dharau utadhani wamepewa ticket ya kuishi milele na kuangalia misambwanda bure hapa duniani na Mwenyezi Mungu.
ukimvamia unaweza kudhani ni muhuni fulani asiyekuwa na muelekeo wowote wa kimaisha..........ngoja ashushe andiko la ukwelini ndio utajua balaa lake.
shimba angelikuwa mpenda kuandika angelikuwa level moja na mshana junior.....
Wapendwa. Ni mimi huyu shwaini mshamba wa Kisukuma mnayeniongelea hapo? Jizazi [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni vipi na wewe ungekuwa na dharau kama wale wengine kisa tu...!!!
Uwepo wenu hapa ni faraja na heshima tuipatayo akina sisi kupitia kwenu
Wasukuma tunapenda ng'ombe ila hatujafikia huku [emoji16][emoji16][emoji16]wenye kabila lao.......sijui wamasai au wale jamaa
View attachment 1459593
Vipi poti, ulifanikiwa?Wasukuma tunapenda ng'ombe ila hatujafikia huku [emoji16][emoji16][emoji16]