moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu afikishwa mahakamani kwa makosa ya ufisadi.
Hii ni mara ya kwanza kwa Waziri mkuu aliyepo madarakani kufikishwa mahakamani kwa makosa ya ufisadi nchini humo tangu taifa hilo lilipoasisiwa miaka 70 iliyopita.