moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🤭 sorryUmenitelekeza tu😌
Ndiyo. Nilitest zali kwanza ikawa poa. Wako vizuri sana. Asante kwa wazo hilo na hawa WU shwaini zao hawanipati tena!Vipi poti, ulifanikiwa?
Duh!!"Wale wote wanaojua kuwa ndugu zao ni majambazi, na wanajua kuwa wametoka kwenda kutafuta lakini hawajarudi basi nawaomba waende Muhimbili kwenda kutambua miili yao"
Kamanda kanda maalum ya Dar es salaam. Lazaro Mambosasa
EA tv plus+ View attachment 1459757
Kazi za mikono yenu zikabarikiwe wapendwa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1459823