Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo Wangu Jamani, Heshima yako ya dhati kabisa.....Asante nimepokea salamu kwa nidhamu anko.!

Mnaendeleajee huko anko, shangazi yangu je.?[emoji2088]
Nimeishi Mtwara, hii salamu yako imenikumbusha zamani mitaa ya Mikindani ufukweni mabinti wa kiarabu wakipita mbele yangu kwa unyenyekevu na salaam yao laiiiniii na yenye mvuto wa ajabu...
Ankoo, umejua kuniliwaza[emoji120][emoji120]

Mungu ni mwema ndugu zako hapa nyumbani ni wazima kabisa.
Uwe na siku njema mama...
 
Unajua Kansela Angela MARKEL wa Ujerumani anaogopa sana MBWA hii ni baada ya mbwa kumshambulia 1995. Mwaka 2007 kwenye kikao Urusi, Rais Putin alileta mbwa wake katikati ya mazungumzoSmiling face with open mouth and cold sweat. Jambo hilo lilitafsiriwa kama KITISHO japo baadae PUTIN alisema hakudhamiria kumtisha Mama


 
IJUE TANGAWIZI NA FAIDA ZAKE : Tangawizi ni zao ambalo hustawi sehemu mbalimbali duniani na hutumika kama kiungo katika vyakula mbalimbali, dawa kwa tiba ya magonjwa ya binadamu na wanyama na pia kiambato muhimu kwenye vinywaji mbalimbali
 
FAIDA ZA TANGAWIZI:KILISHE:􀀃 Tangawizi ikichemshwa na maji na kuongezwa sukari hutoa kinywaji ambacho ni kitamu na chenye ladha nzuri sana. Baadhi ya watumiaji hupendelea kuongeza asali, vipande vya machungwa au limao ili kuweza kupata ladha nzuri zaidi. Vilevile hutumika katika utayarishwaji wa vinywaji vingine viwandani kama soda, chai, kahawa nakadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…