Rostema
JF-Expert Member
- Nov 27, 2018
- 2,926
- 9,495
Mungu atupe afya na uzima
Salam kwenu
Hamjambo jambo Wakuu wote humu?
LikesLikeeeee
Acha uoga huko😬😬....Tunaanza na zile za Kubembeleza kisha tunahamia vitani🏃♀️Mtoto akianza kula anatakiwa kuanzishwa uji sio unamkimbiza kwenye ugali na makande. Ninge,davet ,carba uwiii za kwao ngumu
Weee DaeUgali, Episode 1 tu ya mother imenitoa chozi....Usirudie tena kunitajia muvi za vile😂😎😎😎 miwani ya mbao...
andaa daftari lako na penseli..
sitaki maneno commando happiness
my mister imeshindwa kukutoa hata doto la machozi
commando happyyyyyy