Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1590520294460.jpg
FB_IMG_1590520294460.jpg
 
“Nafanya mazoezi mara nne kwa wiki. Watu wanasema nimekuwa mwembamba sana, lakini hawajui ni kwa kiasi gani ninajituma kuwa hivi nilivyo!”

Pamoja na utetezi wake huo, maelfu ya mashabiki wake duniani kote, wameendelea kumlaumu kila anapoweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram juu ya kukondeana huko.

Sehemu ya maoni hayo yanasomeka;

“Celine sasa unatisha, umekauka sana.”

“Celine umekondeana sana, ngozi imekakamaa.”

“Celine tangu nimeanza kukuona na kuwa shabiki wako, sijawahi kukuona hivi, unatisha!”
Kukondeana kwa wazungu si ndiyo urembo? Sasa wanamcheka nini mama wa watu?

Alimpenda sana mumewe masikini na tangu afariki hajawa sawa.
 
Back
Top Bottom