😀😀 Tatizo sio ugali tatizo ni mboga ganiugali hauepukiki.....
ugali ukipata mpikaji mbona unasahau biryani la pakistani....
😀😀 Tatizo sio ugali tatizo ni mboga ganiugali hauepukiki.....
ugali ukipata mpikaji mbona unasahau biryani la pakistani....
Numbisa unanizingua bibiiiii.....Kama ilivyo kwa Wema, naye ameendelea kusisitiza; “Nipo vizuri, najisikia vizuri sasa kuliko wakati mwingine wowote!”
ok, wengi wetu tunaopika ugali huwa hatuna maandalizi nyoofu.😀😀 Tatizo sio ugali tatizo ni mboga gani
Sembe kwa maji 🙌🏽ok, wengi wetu tunaopika ugali huwa hatuna maandalizi nyoofu.
sembe kwa dumu la maji ya baridi
sembe kwa dagaa kavu
sembe kwa dagaa la kwao numbisa *sato*
sembe kwa maharage ya mafuta
sembe kwa bamia
nimekimbilia account ya instagram....dah amechoka sana lakini sauti yake imebaki vile vileKuhusu mwili wake kuonekana skeletoni na kustaajabisha mashabiki wake ambao sasa wanaogopa hadi kumuona na kupiga naye picha, Celine anajibu;
“Kama mimi napenda kuwa hivi, siumizi kichwa sana na sipendi kulizungumzia.
unashangaa mkuuSembe kwa maji 🙌🏽