Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wewe acha tu.......kule kwetu korea yupo muimbaji wa gospel anaitwa sohyang naye ana balaaa......hawa watu sijui waliumbwa na spika ndani.

nasikia domokaya ameshindwa kuimba live, anasingizia jiko lake halijakamilika
kuimba live na jiko la kupikia ugali wapi na wapi
Domokaya kawekeza kwenye kunengua zaidi kuliko kuimba. Na timu yake huwa wanapenda kumpambanisha na wanaija bila kuangalia wale wanaimba na wanajua wanachokifanya kuliteka soko LA ulaya
 
Back
Top Bottom