Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabinti wa Kiarabu wenye salaam laini na yenye mvuto wa ajabu....

Kama hawakupata bahati ya kuuziwa maparachichi basi wakatambike [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]

Kwema ndugu yangu? Dada yangu na wapwa zangu ambao hawataki kujulikana kama ni Wasukuma hawajambo?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na jina nikaitwa Yunus, mke wa Mzee Yusufu akiwa mdogo sana, alikuwepo mkubwa wake, shombe haswaa.....

Mungu ni mwema wote wanaendelea vizuri kabisa.
Endelea kujilinda shemeji [emoji120][emoji120]
 
92e62ee88302d34a9fba98875f8a3460.jpg
 
Kwa wahenga wenzangu[emoji125][emoji125], bado nyimbo za Celine zimewakaa kichwani. Kuanzia Because You Love Me, My Heart Will Go On, That’s The Way It Is, I am Your Angel, A New Day Has Come, I am Alive, The Power Of Love hadi It’s All Coming Back To Me na nyinginezo nyingi.
 
Back
Top Bottom