Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
alipata watoto kwenye ndoa yake?Celine anasema amejitolea maisha yake yote kuwa mtumbuizaji, ili kutimiza hilo, hawezi kuwa mnene.
Anaongeza; “Kutumbuiza ni jambo lililopo ndani ya vinasaba vyangu (DNA) katika maisha yangu yote. Natimiza ndoto yangu hapa duniani!
Ushaiona aunt? Nilijikuta naipenda tu mpaka nikajishangaaAuntie naomba maksi hapo 😂
Nimeipenda sana hii avatar yako mpya rolo modo wangu. Inapaswa kuwa kielelezo huishi kwa mabinti wote wa kizazi kipya. Sasa umeanza kukua [emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Sijaona hata auntie, ila siku hizi nikikuta mtu kaandika kaneno kafupi najua ni movie tu😬Ushaiona aunt? Nilijikuta naipenda tu mpaka nikajishangaa
Hahahah daahNumbisa unanizingua bibiiiii.....
hiyo hadithi naisoma kimya kimya, unachozingua ni kumtaja wema sepetu katikati ya simulizi.
pera na parachichi halifanani bwanaaa
Hahahah daahNumbisa unanizingua bibiiiii.....
hiyo hadithi naisoma kimya kimya, unachozingua ni kumtaja wema sepetu katikati ya simulizi.
pera na parachichi halifanani bwanaaa
hakuna anayegombania like humu ndani.....kwa sababu haziongezi nguvu za kike wala za kiumeHuu Uzi nimeuona tu nikacheka...Sana watu wanavyogombania like...😂😂😂🙌