Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mwanamke wa shoka...
Rolo modo wa rolo modo wangu
Rolo modo wa rolo modo wangu
Yaani shimba wabarikiwe wote waliokulea na kukukuza maana una busara hadi raha, i realy like that....Miye niko poa TH [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kudandia treni kulishaniponza mara nyingi lakini sikomagi dah! Hovyo sana yaani...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Heshima hiyo na ikurudie saba mara sabini sikweadi TH. Jua la neema na likaendelee kukuangazia ewe binti mcheshi usiye na makuu. Hebu hata siku zako zinazopaswa kuwa na giza na zikang'arishwe na mwezi mpevu unaong'aa sana. Blessings [emoji1545]
atafute walalahoi wa yanga apate kujibizana nao ila si kigogo......japo yupo trending sana kwa nyakati hizi.Manara anataka kujikumbusha matukio yake bule, huyu kigogo, haya cheupe
Badili ujiite ....tokea jana nina mzuka wa kubadilisha username........
coming up: Dae Ugali
acha nitume maombi......juzi nimeona comment ya maxence anasema ya kwamba mabadiliko yajayo huenda yatawapa uwezo member kubadili username, lakini ili kuepusha ufanano wa majina JF itakuwa ndio wenye uamuzi wa mwisho
Maana yake nini mla urojotokea jana nina mzuka wa kubadilisha username........
coming up: Dae Ugali
Tekashi wewe ni nani kwanza?Maana yake nini mla urojo
Tekashi wewe ni nani kwanza?
mkokaa?
mfilisti?
?🏃♀️One-lewis capaldi
MfilistiTekashi wewe ni nani kwanza?
mkokaa?
mfilisti?
Eti kisa Dudu [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1460258
mke wako hajambo?Mfilisti
Sema kwanza maana ya dae ugalimke wako hajambo?
ayyanna
Mungu atupe afya na uzima
[emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote..