capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ubaguzi wa rangi ni janga kubwa sana,dhahiri linaonekana kushindwa kudhibitiwa..
Ha ha ha vizuri kama vya KigaliHaha, unapenda vizuri weyee[emoji847][emoji3]
Kwema kabisa,,hsbari za siku tele.!
[emoji23][emoji23][emoji23]muulize anakuja lini?Karibu sanaa huku, utapokelewa kwa mikono miwili na vijana wako ningendako na Davet
Yes! racism bado iko sana japo si waziwazi!Ubaguzi wa rangi ni janga kubwa sana,dhahiri linaonekana kushindwa kudhibitiwa..
Pumzika kwa aman George Floyd!!
Aisee, mbona hizi ni laini Numby [emoji2][emoji2]Mtoto akianza kula anatakiwa kuanzishwa uji sio unamkimbiza kwenye ugali na makande. Ninge,davet ,carba uwiii za kwao ngumu
Hv Idriss ameshatoka?
Kapelekwa mahakamani leo! Tuna subiri hukumuHv Idriss ameshatoka?