Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tafiti zilizofanywa na jarida la new england journal of medicine nchini uingereza limegundua kwamba zaidi ya watu milioni moja na laki sita wanauawa na na ulaji wa chumvi kila mwaka, kifo ni hatua ya mwisho ya madhara ya chumvi lakini kuna madhara mengi sana yasababishwao na chumvi kabla ya kifo.
Chumvi (Sodium) is the number 1 cause of BP especially for black men...Na ubaya mavyakula haya yaliyosindikwa viwandani yamejazwa chumvi balaa....
 
It makes sense to me [emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20200527-WA0039.jpg
 
Back
Top Bottom