myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wangeongeza abv angalau ivuke 7%. Sasa mkwara wote huo halafu abv 4% tu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Chumvi (Sodium) is the number 1 cause of BP especially for black men...Na ubaya mavyakula haya yaliyosindikwa viwandani yamejazwa chumvi balaa....tafiti zilizofanywa na jarida la new england journal of medicine nchini uingereza limegundua kwamba zaidi ya watu milioni moja na laki sita wanauawa na na ulaji wa chumvi kila mwaka, kifo ni hatua ya mwisho ya madhara ya chumvi lakini kuna madhara mengi sana yasababishwao na chumvi kabla ya kifo.
Tecno simu ya wajanja lazima ichukiwe tu...