Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wanawadanganya watu eti ajira ni utumwa watu kweli wanaacha kazi huko kwenye biashara wanakokimbilia nako wanakuta ni kugumu...Kuna mmoja nilipenda kumsoma insta lakini daah mafundisho yake mengi ni kuwapa wanawake jeuri tupu
Hawa watu sio wa kuwaendekeza kabisaWanawadanganya watu eti ajira ni utumwa watu kweli wanaacha kazi huko kwenye biashara wanakokimbilia nako wanakuta ni kugumu...