Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuongezeka uzito; kama nilivyosema hapo mwanzo kwamba chumvi huzuia maji kutoka nje ya mwili, hii huongeza uzito wa mwili na kumfanya mtu kujisikia amejaa tumbo muda mwingi, kumbuka lita moja ya maji sawasawa na kilo moja ya uzito.
 
400009100656_180701.jpg
 
suluhisho ni nini? punguza sana kiasi cha chumvi kwenye mla wako na baada ya muda utazoea, kwa wagonjwa wa presha ambao wanatakiwa wale chumvi kidogo zaidi kuna chumvi maalumu kwa watu hao ambazo zinapatikana mijini, chumvi hizi zina kiwango kidogo sana cha sodium hivyo presha zao huweza kushuka
 
Back
Top Bottom