Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kimsingi vyakula vingi tunavyokula vina chumvi ya kutosha ambayo inatosha kabisa kuendesha mwili wetu bila kuongeza chumvi nyingine ya ziada, vyakula hivyo ni kama vitunguu,malimao,maji ya kunywa,viazi,ngano,nyanya,maboga,caroti, spinachi, kabechi,mapera, zabibu,epo,karanga,mayai, maziwa na vingine vingi
 
😂😂😂auntie jamani, wajukuu wanne ila muoga hivyoo🏃‍♀️
Auntie kuna saa najipamba kama karembo haka
100967101_244498740159351_8776392310592181220_n.jpg
kumbe uhalisia kaoga balaahadi kwa popo
 
kansa ya tumbo; utafiti umeonyesha kwamba nchi ambazo kuna ulaji mkibwa sana wa chumvi kama japani kuna wagonjwa wengi sana wa kansa ya tumbo la chakula ukilinganisha na nchi ambazo hazina ulaji mkubwa wa chumvi kama uingereza.
 
addiction; ulaji mkubwa wa chumvi humfanya mlaji kuendelea kupenda vyakula vyenye chumvi nyingi sana na kushindwa kabisa kuvumilia kula vyakula vyenye chumvi kidogo...hii hizidi kuathiri mwili na kuusababishia matatizo makubwa zaidi.
 
kiharusi; huu ni ugonjwa wa kupooza unaosababishwa na kuziba kwa mishipa ya damu ya kwenye ubongo kutokana na mafuta au kuvujia kwa damu, kwa ulaji wa chumvi nyingi huongeza presha ya damu na kupasua mishipa midogo ya kichwa na kuleta kiharusi.
 
Back
Top Bottom