Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

500017900175_57848.jpg
 
PIMBI WA KWENYE MIAMBA (ROCK HYRAX).

SIFA NA TABIA ZA PIMBI WA KWENYE MIAMBA

Pimbi ni wanyama wanaofanana au kuonekana kama sungura kwani wana miguu mifupi, mikia mifupi sana ( sawa na hawana mikia kabisa) na masikio ya duara. Sifa hizi zimepelekea wanyama hawa kupewa jina la Sungura wa kwenye miamba kwani wana fanana sana na sungura.
 
Pimbi ukiwachunguza vizuri katika nyayo za miguu na viganjani wana alama kama vitufe vyenye matezi mengi sana ya jasho. Matezi na alama hizi za vitufe huwasaidia wanyama hawa kuweza kukimbia na kushikilia kwenye miamba vizuri wakati wana kimbia.
 
Kwa ujumla ukimchunguza vizuri utagudua ana alama nyeupe kwa juu ya macho na sehemu ya juu anakuwa na rangi ya weupe weupe inayoelekea kuwa kama manjao. Rangi hii inaweza kuonekana kwa baadhi ya jamii nyingine za pimbi japo huwa huwa haiwezekani kwa jamii moja kuzaliana na jamii nyingine.
 
Back
Top Bottom