Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni kutokana na kwamba wanyama hawa bado wametawanyika au kupatikana kwa wingi katika maeneo tengefu ya uhifadhi wa wanyamapori. Japo jambo la kushtusha ni kwamba jamii ya pimbi wa miti wamekuwa wakiwindwa sana hasa mkoani Kilimanjaro kutokana na manyoa yao na nyama pia.
 
Mpaka sasa bado hakujawa na tishio kwa pimbi hawa. Nadhani ni kwasababu wanapatikana sana maeneo tengefu ya uhifadhi wa wanyamapori hivyo wanakuwa na ulinzi wa kutosha. Japo kwa jamii ya pimbi wa kwenye miti tishio kubwa sana kwao ni uharibifu wa misitu kwani huathiri sana makazi yao.
 
Pili nikwamba pimbi wana uwezo wa kula majani ambayo ni sumu kwa wanyama wengine hivyo husaidia kupunguza athari kwa wanyama ambao wangeweza kula majani haya na kufa kitu ambacho ni hasara kubwa sana kwa taifa na uchumi wetu kiujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…