Mboga za majani,hususani zenye majani mengi zina kiwango kikubwa cha uchafu na vijidudu,kama azitosafishwa vizuri,pia zitasababisha kuhara kwa tumbo,Kwa hiyo zinabidi zisafishwe kwa umakini kabla ya kutumiwa.
Mboga za majani zinabidi zitumike kila siku kwa kupunguza uzito kwa njia yoyote ile na magonjwa mengi yanazuiliwa kwa kula mboga zilizosafishwa na kupikwa zikiwa fresh .
Kabeji ni moja wapo ya mboga za majani inayoleta afya,pia ina alkali( yaani kinyume cha asidi) katika utendaji,seli kubwa au inayosaidia kujenga mwili,ni kalori ndogo iliyomo