Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Oh sikuwa nikijua ..
Kimsingiy nimepata taarifa hii kupitia BBc Swahili jana.
Na hiyo nimetaja ndio sababu haswa iliyotajwa.
Hata TBC asubuhi hii wamesema...
Wanampekua sana...
Kumtafutia makosa na kumuhenyesha kwa jambo linaloweza kuisha kwa amani...
Cc: mahondaw