Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-05-28 reddit.png
 
Inasemekana popobaya walianzia pemba...

Cc: mahondaw
Inasemekana lakini...

Eti akikufanya ni lazima utangaze kwa watu 10, la sivyo anakurudia. Kipindi hicho nilikuwa bado sina exposure na mambo ya naniliiiu

Ila bado najiuliza so alikuwa ni mwanaume machine au kiLemutuz 🏃🏃
Ila naamini zilikuwa ni porojo tu
 
Nahisi zile zilikua porojo tu za binadamu kuhalalisha mambo yao...

Ila wakadhibitiwa waache mambo ya kishenzi...

Kwa sasa how much exposure do you have kabla sijasimulia...

Dah! Ilikuwa noma sana

Hebu simulia nikusikie then nilinganishe na hiki kilichopo akilini...ila sidhani kama nimevuka 1KM 😉
 
Back
Top Bottom