myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mkuu unadeal na haya mambo?
Nipo hapa ninamkumbuka mdada aliyenifundisha jambo la siri.
😍😍😍😘😘😘😛😜😝karibu kujifunza elimu haina mwisho 😂Mmh, nifundishe na mimi, Nije nimfundishe Mkaka kama wewe anikumbuke😜
Jizazi [emoji15][emoji15][emoji15]Mmh, nifundishe na mimi, Nije nimfundishe Mkaka kama wewe anikumbuke[emoji12]
Kwa kukukera zaidi acha nikujibu hivi mkuu huyo member alishawahi chat na hawachi hapa mwisho wa siku mpendwa akapatwa mashaka na jinsi ya mwenye ID. Nilitaman na ninataman awe mdanda ila huwa anabadilika badilikaEsta angalia hii list. Majuzi hapa ulinibishia kuhusu gender ya mtajwa kwenye hiyo list [emoji16][emoji16][emoji16]
Hawa ndio wanawake watano ninaowakubali humu JF - JamiiForums