Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

39096EE9-6B84-4E74-AC11-185540A065D3.jpeg
 
Ndizi ina virutubisho vingi venyefaida nyingi sana kwa afya yako ikiwemo.

Potassium ______________ 9%
Vitamin B6 ______________ 33%
Vitamin C ______________ 11%
Protein _______________ 1.3 grams
Fat _______________ 0.4 grams
Na vingine vingi sana kiasi cha kutotaja vyote huku vikiwa na faida kwa mwili wako kama vile,
 
Harmonize: 🎶

Yanini kunichunguza naishi wapi(zilipendwa)
Nala,chapati kwa maini au makapi(zilipendwa)
Kutwa kunikalia chini unda kamati🎶

Oh ya Rabi masikini kuni dhihaki
Ah Samba Mapangala(zilipendwa)
P Funk Kajala(zilipendwa)🎶

Onyango na Jangala(zilipendwa)
Rufufu mkandala(zilipendwa)
Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli🎶

Kisa pesa za mkopo msimu wa Magufuli
Ah,Bongoman yondo(zilipendwa)
Sikinde Msondo(zilipendwa)🎶

Magari ya Udongo(zilipendwa)
Babu wa Loliondo(zilipendwa)🎶



Cc: mahondaw
 
Mbosso: 🎶

Eti msiba ukiona Bundi unataka kupagawa
Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
Zuwena nitampata wapi(zilipendwa)🎶

Zuwena wa zile nyakati eh(zilipendwa)
Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda🎶

Iddi Amini dada(zilipendwa)
Miuno ya H Baba(zilipendwa)
Domo Chai Jabba(zilipendwa)🎶

Michezo ya kibaba baba(zilipendwa)🎶


Cc: mahondaw
 
Lava Lava: 🎶

Wale wapiga madeal sasa hali mbaya(zilipendwa)
Hizi zama za Magufuli si za Jakaya(zilipendwa)
Ugomvi wa Mr.Nice na Dudu Baya(zilipendwa)🎶

Vikatuni vya madenge baba ubaya(zilipendwa)
Muhogo mchungu Mr.bean,wapi bambo(zilipendwa)
Wale wazamiaji wale wa melini wazee wa ng’ambo🎶

Hivi yuko wapi Banjamini wa Mambo Jambo
Wa Vietnam waporini vita na Rambo
Eh ndanda Mjela jela(zilipendwa)🎶

Kidali Kombolela(zilipendwa)
Max na Zembwela(zilipendwa)
Juma Nature na fela(zilipendwa)🎶


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom