Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1587930486329.jpeg
 
Rayvanny: 🎶

Eh! Kizamani,kutoa card na maua (zilipendwa)...
Wanataka money ukilipa unakwarua(zilipendwa)...
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikwamua(zilipendwa)... 🎶

Unafika ndani,hujatomasa unachanua(zilipendwa)...
Wanawake wa leo wanataka mikakati...
Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati(zilipendwa)🎶

Mapenzi ya video yatakutoa kamasi...
Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass(zilipendwa)
Eeh! kupiga chabo getto(zilipendwa)...🎶

Mkono na dettol(zilipendwa)
Sunche na kapeto(zilipendwa)
Majay na Mobeto(zilipendwa)🎶


Cc: mahondaw
 
Rich mavoko: 🎶

Mtaani sipati sukari guru kabisa(zilipendwa)
Hivi yuko wapi Mb Dogg wa Latiffa(zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifa(zilipendwa)🎶

Siku hizi party hatuendagi Ibiza(zilipendwa)
Mpira na Pele(zilipendwa)
Tanu na Nyerere(zilipendwa)🎶

Asha Ngedere(zilipendwa)
Harusi mabele(zilipendwa)
Eeeti Uuze nyumba uweke heshima bar🎶

Eeeti Ulazimishe aliyekukataa
Sabuni Kicherema(zilipendwa)
Mabanda ya Cinema(zilipendwa)🎶

Lipumba na Mrema(zilipendwa)
Diamond na Wema(zilipendwa)🎶



Cc: mahondaw
 
Queen Darleen: 🎶

Una nibeep nikupigie umeiweka vocha(haloo)
Ule wewe nilipe mie umeniona Loffa
Teena na madada wenye majina acheni visa🎶

Unaitwa ukale dinner mnakwenda Tisa
Nywele za kichina(zilipendwa)
Pochi za kuazima(zilipendwa)🎶

Zena na betina(zilipendwa)
Bashite gwajima(zilipendwa)🎶



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom