The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Hahaha walahy, hamshindwi....ila mkojo wa sungura una harufu kali😬🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆 wafugaji hatushindwi leta hela tutakuuzia hata wa sungura tukikudanganya ni wa pimbi
Hahaha walahy, hamshindwi....ila mkojo wa sungura una harufu kali😬🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆 wafugaji hatushindwi leta hela tutakuuzia hata wa sungura tukikudanganya ni wa pimbi
It's a song babe?🏃♀️
🏃♀️🏃♀️🏃♀️ hayo tu😂Wewe kula ndizi na matango
MishYou BabeIt's a song babe
Tukichanganya hiriki,tangawizi na karafuu wewe mwenyewe utanyoosha mikono juu kwa ubora wake na harufu nyororo 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 😆Hahaha walahy, hamshindwi....ila mkojo wa sungura una harufu kali😬
🤗🤗🤗🤗🤗mishyou too babeMishYou Babe
Fenesi nalo lina koronyaMaembe,mapeazi,ndizi,fenesiiii(kwa sauti ya anko)
Ndio hayo ndio yanapatikana kwa wingi🏃♀️🏃♀️🏃♀️ hayo tu😂
Tukichanganya hiriki,tangawizi na karafuu wewe mwenyewe utanyoosha mikono juu kwa ubora wake na harufu nyororo 🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 😆
Waendeleaje mamiloo....?🤗🤗🤗🤗🤗mishyou too babe
Lina covid 19Hadimu sana hilo Tunda
Matunda mengine yana ugonjwaKWA FAIDA YAKO :
MATUNDA NI CHAKULA KITAMU, CHA GHARAMA NAFUU, RAHISI SANA KUPATIKANA.