BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Duh!!
Hapana [emoji38]Ni kweli ulipitia maisha ya hivi Goddess? Sidhani [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Nilijua tu. Watoto wa kishua nyie mnaishi dunia nyingine kabisaHapana [emoji38]
Hakuna ushua wala nn ila sina kumbukumbu ya hvNilijua tu. Watoto wa kishua nyie mnaishi dunia nyingine kabisa
[emoji16][emoji16][emoji16]. Heavy duty hiyoJimama [emoji12]
Hio kaliHawajui Wabongo nini?
View attachment 1462953
Wameshamgeuzia kibano....Wabongo huwa hawachelewi ...Hio kali