Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Msukuma ni mtu wa kwanza kuuziwa ardhi ya bahari wakati maji yamehama! Yaliporudi akajua mafuriko! Mpaka leo anasubiri yahame ajenge nyumba yake! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]