Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nini kinaendelea hapa?

Uzi umepigwa kufuli au mnakuwa discouraged kuposti hapa? Nimesikia mods wanafuta baadhi ya posts hapa na kuzuia watu kuposti kwa muda. Huu yawezekana ikawa ndiyo mwisho wa uzi wetu huu uliotulea na kutuvusha kwenye milima na mabonde ya upweke, depression na mengineyo?

mangekimambiiii__20200530_101031_0.jpg
 
Nini kinaendelea hapa?

Uzi umepigwa kufuli au mnakuwa discouraged kuposti hapa? Nimesikia mods wanafuta baadhi ya posts hapa na kuzuia watu kuposti kwa muda. Huu yawezekana ikawa ndiyo mwisho wa uzi wetu huu uliotulea na kutuvusha kwenye milima na mabonde ya upweke, depression na mengineyo?

View attachment 1463693
Kama ni kweli basi mods watakua wameanza kutafuna mtaji.

Salama kaka mkubwa?
 
Umeona alichosema Esta hapo juu? Jana walifuta post zake 300 na kumlima ban ya muda mfupi. Hata mwanzilishi wa uzi naona kabadilishwa. Ukishangaa ya Bashite utayaona ya RC wa Mbeya.

Mimi sijambo bro. Huko kwako kukoje? Kamalaika ketu kameanza kutembea? Endeleeni kubarikiwa [emoji1545]
 
Aisee, sijaona post ya Esta(Ngoja niitafute).

Huku ni kwema, ndio tunajaribu kusimama na kutembea ni hadi tujishike mahali.
 
Umeona alichosema Esta hapo juu? Jana walifuta post zake 300 na kumlima ban ya muda mfupi. Hata mwanzilishi wa uzi naona kabadilishwa. Ukishangaa ya Bashite utayaona ya RC wa Mbeya.

Mimi sijambo bro. Huko kwako kukoje? Kamalaika ketu kameanza kutembea? Endeleeni kubarikiwa [emoji1545]
Au jembekilo ameslimu/amebatizwa akabadili jina?....
 
Back
Top Bottom