Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FAHAMU: Expire date iliyo kwenye chupa ya maji ni tarehe ya mwisho wa matumizi ya chupa sio maji. Ndio, unatakiwa kuzingatia sababu chupa inapofikia ukomo wa matumizi inaweza kutoa kemikali kwenye maji, Kemikali ambayo inaweza kukuathiri afya yako.‬
101029304_852973538532009_1697547530718933583_n.jpg
 
Kellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili.
 
Back
Top Bottom