Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1584800546654.jpeg
 
PUNDAMILIA-ZEBRA

Mnyama huyu hutambulika kutokana na mistari yake ya pekee yenye mvuto ilipangilika vizuri nyenye weusi na weupe unaovutia.wanyama hawa wana patikana katika maeneo ya grassland,shrubland, milimani na grassland of Africa.Wanyama hawa chakula chao kikuu ni majani .
 
Back
Top Bottom