Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

anteater

Ni mnyama mwenye asili ya America ya kati na Kusini ,hasa katika inchi za Brazil,Bolivia na Argentina, mkubwa kabisa ana urefu wa futi 5.11pamoja na mikia,na uzito wa kilo 39.ni mnyama mkubwa asiye na meno sawa na umbile la mbwa ama zaidi ya hapo,ni mwenye kichwa chembamba kirefu
 
Ooh [emoji3059]
JPEG_20200531_122120_6475316113343041795.jpg
 
mara zote hutembelea sana vichuguu na magogo, amabyo ni makazi ya wadudu hao,kama shamba lake la chakula ,ni mwenye makucha marefu,huyatumia kuchana,ama kuchimba ila kupata tundu la kutosha kupitisha ulimi wake ,ili kuwanasa wadudu hao,zoezi hilo hufanyika kwa dakika moja tu,kitendo cha kutia ulimi ,mara wadudu wanaponasa ,hunyonganyonga ulimi wake mara 150 kwa dakika 1 na kuwatia mdomo,kuwapondaponda na kuwameza,kisha huham kwenda kichuguu kingine,
 
Back
Top Bottom