Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kuna mod anazingua jana kafuta comments zangu 300 na block juu. Yaan nilifungiwa kuchat hapa. Ukute na wengine watakua wamefanyiwa hivyo.Leo hapa kimyaaaaaa !!!
Shwaini zenu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aisee. Wametuchoka ama?Kuna mod anazingua jana kafuta comments zangu 300 na block juu. Yaan nilifungiwa kuchat hapa. Ukute na wengine watakua wamefanyiwa hivyo.
Cheki hapo juu muanzisha mada ni jembe kilo ila wamemtoa wamemuweka mtu wao
Hapo sasa nashangaa vituko vingi daah Tanzania huduma za bure huwa mateso sanaAisee. Wametuchoka ama?
Nilikuwa sijui.
Kama ni hivyo si waufunge tu uzi au waufute kabisa?
Shida yetu wivu na kuonekana gere. Na hii siyo huduma ya bure. Wanauza matangazo kupitia sisi na uzi huu ulivyo active utakuwa umewaingizia pesa nyingi tu. Ndo maana wameuacha mpaka sasa. Labda kuna mtu kaenda kulalamika kuwa uzi unadominate 24/7. Hovyo tu....Hapo sasa nashangaa vituko vingi daah Tanzania huduma za bure huwa mateso sana
Huyu naye si anyoe tu? Shida yote ya nini?
Kweli kabisa shuini zaoShida yetu wivu na kuonekana gere. Na hii siyo huduma ya bure. Wanauza matangazo kupitia sisi na uzi huu ulivyo active utakuwa umewaingizia pesa nyingi tu. Ndo maana wameuacha mpaka sasa. Labda kuna mtu kaenda kulalamika kuwa uzi unadominate 24/7. Hovyo tu....
Pesa ya Kiwembe pia hana[emoji38]Huyu naye si anyoe tu? Shida yote ya nini?