Maarifa ni hazina kubwa yenye faida endapo ukayatumia na kuchukua hatua Kila siku kujiboresha na kuwa mtu bora zaidi. Endelea kuchukua hatua uzidi kupata matokeo bora.
'QUEEN ELIZ LIZABETH II Malkia Elizabeth Il ana kinga ya kutoshitakiwa Nchi zote Duniani isipokuwa Nchi 4 tu. 1. Sudan Kusini 2. Kosovo 3. Vanuatu 4. Palau
3. Mshtuko wa ubongo unaoupata ukipigwa busu ni sawa na mshtuko huo huo utaupata wakati unaruka angani(skydiving) au unaposubiri mtoko wa risasi(gun firing)