Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Acha kumdanganya [emoji23]Wandali wanatisha.
Wajua kamanda watu wanamuogopa sana papa, lakini baharini kuna viumbe hatari zaidi kuliko papa.
Kwenye suala la ulozi wandali wako vizuri kuliko makabila mengine yanayotajwa tajwa
Mambo ya uchawi sumbawanga wanashika chat.
Ileje uchawi wao ni kama huo wa mashambani na tiba...ila ukimkorofisha hakuachi.