moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asalaam Alyeikum
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wandali siyo watu[emoji23][emoji23]
Kwenye mambo hayo hakuna anayewaweza Wandali
Hawa nao. Bado wanatoa tahadhari kwa raia zao wakati kwako ndo kunawaka moto...
View attachment 1467086
Zipi hizo?[emoji23][emoji23][emoji23]Wandali habari zenu ninazo
Anatuonea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Wandali nao ni moto eeeh!? Nilikuwa sijui aisee...
Hivi Wandali nao ni moto eeeh!? Nilikuwa sijui aisee...
Duh! Replies zimefikia 1millini!
Salam kwenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ileje niliyokaa mimi ina mchanganyiko wa wanyiha,wandali na walambya
Usituonee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema hakuna wanaowaweza wandali,hivi wafipa wa sumbawanga unawajua vizuri wewe?
Je Tanga Huko umewaacha wapo?
Wafipa huwajui vizuri wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wandali wamo kwenye top ten ya makabila yanayotisha kwa uchawi.
Lakini kila nikitafakali nyanda za juu kusini nadhani wandali wanashika namba moja.
Hata wafipa wa Rukwa hawaoni ndani
Zipi hizo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ninayo ile ya watu kuzuia mvua isinyeshe uwanjani.
Alienda kiongozi,sijui alikuwa kiongozi wa nini.. Sasa wananchi wakawa wanatoa malalamiko na kero zinazowakumba hapo Kijijini.Sasa kabla hawajamaliza kutoa Yao ya moyoni ,wingu likatanda angani.Yule kiongozi akataka aondoke wakamzuia..wakafanya Yao mvua ikawa inanyesha sehemu zote ila pale uwanjani ilikuwa Kwenye uwanja wa mpira,ni pakavu kabisa yaani hata tone hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119].
Hii video ipo You tube