Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

This is inhuman kusema ukweli.

George Floyd alikamatwa na polisi tarehe 25 may mwaka huu, kwa kosa la kununua sigara kwa noti bandia ya $20.
Mfanyakazi wa duka moja huko Minneapolis Minesota Marekani aliwapigia simu polisi hao kuwa mteja mmoja (George Floyd) ametoa noti bandia.
Polisi walimkamta kisha walimkaba shingo kwa mguu, kitendo hicho kilipelekea George kupoteza maisha.
Tukio hilo limehusishwa na ubaguzi wa rangi kwahiyo karibia miji yote nchini Marekani watu wanafanya maandamano usiku na mchana bila kujali Corona wala polisi.
Baadhi ya miji kumewekwa hali ya tahadhali ya kutembea usiku, lakini waandamanaji wanaendelea na harakati zao kama kawaida.
Naweka picha za George Floyd hapo chiniView attachment 1466413View attachment 1466414
Huyu ndiye George mwenyewe aliyeuwawa na polisi View attachment 1466416
Hapa George amekabwa shingoni na polisi.
Hata baada ya kulalamika kuwa hapati pumzi lakini askari huyo aliendelea kumdhibiti mpaka akafariki View attachment 1466417
He can't breathe and those stupid cops didn't listen to him.
 
20200602_192323.jpg
 
Wandali siyo watu[emoji23][emoji23]
Kwenye mambo hayo hakuna anayewaweza Wandali
Watu watata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Huyu hafai kuwa mwizi.

Kule kwetu ileje ukiingia kuiba kwenye baadhi ya mashamba ya watu hautoki.. yaani utazunguka humo hadi mwenyewe atakapotembelea Shamba ndio akutoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wandali habari zenu ninazo
Watu tunarudishana nyuma Sana jamani [emoji26]

Ila kule kuna watu ni watata jamani [emoji23][emoji23][emoji23] mazao yao hayaguswi[emoji119]
Yaani ukifanikiwa kuondoka nayo shambani basi jua ukifika nyumbani mzigo wa mahindi hautoki kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom