Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani ina maana ulikuwa hujui?
Barack Obama mama yake ni mzungu raia wa Marekani.
Babake anaitwa Baraka Hussein Obama.
Mkenya wa Kisumu. Mjaluo ambaye baadhi ya ndugu zake wanapatikana wilayani Rorya Tanzania
Anhaa kumbe mjaluo wa Kenya!?!
Yawezekana kabisa ni ndugu yangu maana kaka yangu ameoa mjaluo.
 
Aaaa wapi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
400019100169_176997.jpg
 
Watu watata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Huyu hafai kuwa mwizi.

Kule kwetu ileje ukiingia kuiba kwenye baadhi ya mashamba ya watu hautoki.. yaani utazunguka humo hadi mwenyewe atakapotembelea Shamba ndio akutoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee. Nitakuja unipeleke kwa wataalamu wa hivyo. Mwaka huu kuna mtu kachuma nyanya zangu akapakiza kwenye gari na kwenda zake. Hovyo sana !!!
 
Nimeona huko Shimba anasema eti sasa ndio uko 18, kumbe wkt ule ulikuwa 15 [emoji38][emoji38][emoji38]
Usimsikilize huyo, amesikia natafuta mchumba basi kila nikikatiza huyo anakuja kuziba njia. Nishamwambia mimi sitafuti mchumba mweupe na mwenye wezere; kwani ndio ugonjwa wake lakini bado tu, hahah! 😂 😂 😂😂
 
Usimsikilize huyo, amesikia natafuta mchumba basi kila nikikatiza huyo anakuja kuziba njia. Nishamwambia mimi sitafuti mchumba mweupe na mwenye wezere; kwani ndio ugonjwa wake lakini bado tu, hahah! [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Huyu dadangu unamjua?

Wakerewe na nyinyi ishu ya mahari si ajabu itakuwa shida tu kama tulivyohangaika kwa Wanyakyusa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom