Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Nitakuja unipeleke kwa wataalamu wa hivyo. Mwaka huu kuna mtu kachuma nyanya zangu akapakiza kwenye gari na kwenda zake. Hovyo sana !!!
Watu tunarudishana nyuma Sana jamani [emoji26]

Ila kule kuna watu ni watata jamani [emoji23][emoji23][emoji23] mazao yao hayaguswi[emoji119]
Yaani ukifanikiwa kuondoka nayo shambani basi jua ukifika nyumbani mzigo wa mahindi hautoki kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ai emu siriazi. Mimi siwezi kuhangaika kulima nyanya halafu mtu mwingine aje avune [emoji51][emoji51][emoji51]
 
officialcomedy_tz_20200601_151849_0.jpg
 
Back
Top Bottom