Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani ina maana ulikuwa hujui?
Barack Obama mama yake ni mzungu raia wa Marekani.
Babake anaitwa Baraka Hussein Obama.
Mkenya wa Kisumu. Mjaluo ambaye baadhi ya ndugu zake wanapatikana wilayani Rorya Tanzania
Hee hivi kumbe Obama Ni mmarekani mweusi eeh?

SHIMBA YA BUYENZE na wewe upo hapa?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20200602-WA0020.jpg
 
Maandamano hayo yamehusisha watu wote, wenyeji, wageni, wazungu wahindi nk.
Haitashangaza kwenye makundi hayo kuwaona watanzania,wakenya nk.
Jana niliona video moja waandamaji huko Chicago waliongozwa na wimbo wa "mchaka mchaka chinja" na aliyekuwa anaongoza maanamano hayo ni jamaa furani mzaliwa wa Buguruni Dsm.
Nilishindwa kuidukua nileete hapa
Kumbe ngosha nae ni mmarekani mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom