Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee...Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi ya FIFA, Pierluigi Collina katika barua yake kwa vyama na mashirikisho ya soka, amesema kuwa kamati hiyo haina mamlaka ya moja kwa moja juu ya adhabu kutokana na kosa hilo kufuatia mapendekezo yaliyotolewa hivi karibuni.
SafiiiKama huamini shauri yako..
View attachment 1466843
[emoji23][emoji23][emoji23]Poleni wakulima. myoyambendi hajapita mitaa hii nini. [emoji3] [emoji3]
Sawasawa..Salaam mkuu, karibu sana jamvini tuimbe, tucheze, tucheke nk
Duh!!![emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1466970
Usingizi gani huu?
View attachment 1466952
Mhola Ilumbuye! [emoji3] [emoji3]
Ndiyo unajua leo?
View attachment 1466737
Poleni wakulima. myoyambendi hajapita mitaa hii nini. [emoji3] [emoji3]
Bado yuko andaeitini huyo. Wakati ule kumbe alikuwa fifitiini [emoji16][emoji16][emoji16]Mhola sana mwanawasu.
I miss you sir, hope now you are not under 18 again [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Pole sana. Siyo watu wazuri aisee hasa pale wanapoamua kuleta madhara. Huyu sijui walimpulizia dawa au hata sijuiNikipata hii dawa nitafurahi sana maana juzi tu wameruka ukuta wakaniibia, yaan nina hasira nao balaaa
Pole sana...Nikipata hii dawa nitafurahi sana maana juzi tu wameruka ukuta wakaniibia, yaan nina hasira nao balaaa
Huyu dogo ajiangalie wasije wakamtolea mfano akawaacha wenzake akina Kangi Lugola wakitanua. Inaonekana hakuwa amejichimbia sana kwenye system....Kuelekea uchaguzi anaweza akageuzwa mfano wa "jinsi mahakama ya ufisadi ilivyoyashughulikia mafisadi"...
CCM Hoyeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1466943