Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Luiz anajiandaa kuachana na Arsenal ikiwa haijazidi hata miezi 12 tangu alipotua Emirates huku miamba hiyo ya London ikifikiria kumfungulia mlango wa kutokea wakati msimu huu utakapofika mwisho. Beki Luiz alisaini mkataba wa mwaka mmoja wakati anatua Arsenal huku kukiwa na makubaliano ya kuongeza miezi 12 mingine mwishoni mwa msimu wakati aliponaswa kwa ada ya Pauni 8 milioni akitokea Chelsea mwaka jana.
 
Luiz alicheza mechi 32 za michuano hiyo katika kikosi cha Arsenal na kufunga mabao mawili, lakini kocha Arteta anataka kupunguza bili ya mishahara kwenye kikosi chake pamoja na kuondoa wachezaji wenye umri mkubwa jambo litakalomfanya aondoke dirisha la usajili wa majira ya kiangazi litakapofunguliwa. Beki huyo wa zamani wa PSG aliichezea Benfica kwa miaka minne, ikiwa ni klabu yake ya kwanza Ulaya, kabla ya kuachana nayo Januari 2011, ambapo alinaswa na Chelsea na sasa amepanga kurudi Lisbon.
 
Kimenuka..
FB_IMG_1591112771920.jpeg
 
Bondia Floyd Mayweather ameahidi kugharamia mazishi ya George Floyd aliyeuwawa na jeshi la polisi huko Minneapolis yatakayofanyika tarehe 9 juni mwaka huu.
Bondia huyo ameahidi kutoa huduma 3 za mazishi ya George kwenye miji mitatu tofauti ya Houston, Minnesota na Charlotte
FB_IMG_1591109433956.jpeg
 
Huyu dogo ajiangalie wasije wakamtolea mfano akawaacha wenzake akina Kangi Lugola wakitanua. Inaonekana hakuwa amejichimbia sana kwenye system....Kuelekea uchaguzi anaweza akageuzwa mfano wa "jinsi mahakama ya ufisadi ilivyoyashughulikia mafisadi"...

CCM Hoyeee [emoji351][emoji351][emoji351][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom