Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wandali wanatisha.
Wajua kamanda watu wanamuogopa sana papa, lakini baharini kuna viumbe hatari zaidi kuliko papa.
Kwenye suala la ulozi wandali wako vizuri kuliko makabila mengine yanayotajwa tajwa
Acha kumdanganya [emoji23]
Mambo ya uchawi sumbawanga wanashika chat.
Ileje uchawi wao ni kama huo wa mashambani na tiba...ila ukimkorofisha hakuachi.
 
Nadhani kwenye makabila yote 120 ya Tanzania Wandali wanaweza kushika namba 1 au 2 kwenye top ten ya wapiga ndumba.
Jambo zuri ni kwamba nyinyi mnaendesha mambo yenu kimya kimya, yani kama hampo.
Nawapenda kwa ukimya wenu
Anatuonea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wafipa huwajui vizuri wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sisi top 5 tumo.
 
Point ya kwanza naweza kubaliana na wewe.

Hiyo ya pili si kweli.. nafasi za ubalozi,wenyekiti wa vijiji,udiwani na nyinginezo anagombea yeyote.
Kama huamini angalia mbunge wa Sasa wa Ileje,ni mchagga aliyejipachika ukoo wa kindali akaenda kuwalaghai.

Nafasi pekee ambayo huwa wanaangalia uchawi ni uchifu.
Kuna baadhi tu ya Koo ndio huwa zinashika hiyo nafasi..na chief atakapofariki wanatafuta mwingine kwenye ukoo huohuo..hapo vijana wa ukoo hukimbia ila lazima wamnase mmoja.
 
Nadhani kwenye makabila yote 120 ya Tanzania Wandali wanaweza kushika namba 1 au 2 kwenye top ten ya wapiga ndumba.
Jambo zuri ni kwamba nyinyi mnaendesha mambo yenu kimya kimya, yani kama hampo.
Nawapenda kwa ukimya wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kulinganisha watu wa sumbawanga na vitu vya ajabu wewe.
Kuna watu wa Tanga,nasikia ni wachawi balaa.

Sisi kwetu kule uchawi ulipamba Moto Sana miaka ya 90 kwenda nyuma.
Miaka hii kwa kawaida Sana...labda kule undali kwenyewe kwa wandali pure kusikokuwa na walambya..wale kidogo wapo vizuri.
 
Mi kwenye suala la uchawi nawakubali sana Wakinga.
Uchawi wa wakinga ni kupata pesa, lakini haya makabila mengine wanafanya uchawi ili wadhulumu nafsi za watu au wakukwamishe kielimu nk.
Wapuuzi sana
Basi walishawazidi.

Ufipani Huko wanawezana wao kwa wao ndio maana mji wao asilimia kubwa wanakaa wenyeji.
Ukienda mgeni kuishi kule unatafuta balaa.
 
Mi kwenye suala la uchawi nawakubali sana Wakinga.
Uchawi wa wakinga ni kupata pesa, lakini haya makabila mengine wanafanya uchawi ili wadhulumu nafsi za watu au wakukwamishe kielimu nk.
Wapuuzi sana
Yah,wakinga wapo vizuri.
Uchawi wao unawapa pesa..sasa makabila mengine kama wandali na wafipa,anakuroga ili urudi nyuma halafu yeye mwenyewe anabaki palepale.
Au anakuroga tu uumwe ufe Basi,hafaidiki na chochote..uchawi wa hovyo sana huu.
 
Nyie Wakinga ni wachawi wema.
Unaua mama mzazi, unapata hela zako za mashrti, unajenga gorofa lako manzese, unapiga yebo yebo zako, unaenda kwa lishe unapiga ugali wako wa buku, pouwaa kabisa.[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hakuna mbwembwe wala madoido[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji16][emoji16] wewe hebu tutake radhi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli, kinachowafanya wakinga wafanikiwe sio uchawi....ni kujinyima na kutokuspend pesa ovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanikashifu mpendwa, nadhani hata mimi sijatoa kashfa.
Niliposema milionea wa uzi nilikuwa nafanya utani nikiweka dhana kwamba Wakinga ndiyo matajiri wakubwa.
Samahani kama kuna mahali nimeeleweka vibaya mpendwa
Nilikuwa naweka mambo sawa tu sidhani kama kuna mahali nimekukashfu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…