Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Wewe ni miongoni mwa polisi mliomuua mwenzetu, haya nami niue. Mpuuzi sana wewe."
Muandamanaji raia wa Marekani akimwagia povu askari polisi
FB_IMG_1591188085131.jpeg
 
Mzee wa tukuyu andjul popote ulipo kama unataka nikusamehe. Fanya mchakato wa kunipeleka hii sehem kwa muda wa siku 10 na roho yangu itasuuzika
Huyu mzee wako anapita na ku-like kimya kimya haya mazungumzo. Labda ndo kauza maparachichi anaogopa akija laivu utamkaba. Nenda naye pole pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom