Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu mzee wako anapita na ku-like kimya kimya haya mazungumzo. Labda ndo kauza maparachichi anaogopa akija laivu utamkaba. Nenda naye pole pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Huyu mzee wako anapita na ku-like kimya kimya haya mazungumzo. Labda ndo kauza maparachichi anaogopa akija laivu utamkaba. Nenda naye pole pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Unaenda kwenye mitumbwi?Asipokuja hadi kesho basi ajue naenda kwa andaeitini.
Atabaki kumalizia uzee peke yake
[emoji23][emoji23]
Unaenda kwenye mitumbwi?
Kaandaeitini utakaweza?
Duh!!"Wewe ni miongoni mwa polisi mliomuua mwenzetu, haya nami niue. Mpuuzi sana wewe."
Muandamanaji raia wa Marekani akimwagia povu askari polisiView attachment 1467890
Duh!!! Siasa hizi