Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa tukuyu andjul popote ulipo kama unataka nikusamehe. Fanya mchakato wa kunipeleka hii sehem kwa muda wa siku 10 na roho yangu itasuuzika
Huyu mzee wako anapita na ku-like kimya kimya haya mazungumzo. Labda ndo kauza maparachichi anaogopa akija laivu utamkaba. Nenda naye pole pole [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…