Tulia basi bana eeh. [emoji16] [emoji16]
Niko Telegram kwa ajili ya magroup ya vitabu. Leo nimekuta kwenye group moja link imewekwa nikabofya nikifikiri ni ya vitabu nimejikuta nipo kwenye group la pilau. Machangudoa sasa wamehamia mtandaoni aisee na yanayofanyika huko yanatisha. Halafu wengine ni wanafunzi wadogo tu wa sekondari na vyuo (future wives). Nimekimbia fasta...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
******************************
VISIVO RUHUSIWA[emoji1008]
[emoji117]neno malaya
[emoji117]kutuma screenshot ya mteja (wadada)
[emoji117]kuropoka unatatizo muone admin
[emoji117]stori nyingii kupitiliza
[emoji117]kupost picha za wanawake bila maelezo (hasa wateja)
[emoji117]usiandike bei hii ni kwa wote mtoa huduma na mpokea huduma onanen inbox
[emoji117]haturusu link wala matangazo binafs..lipia tukupostie
[emoji117]video za connection haziruhusiwi hapa (yani zilizovuja)
[emoji117]tunashauri miamala ya video call ifanyike kupitia simu yako ili ubaki na kumbukumbu kama dharura ikitokea hitilafi ya kucheleweshewa huduma
[emoji117]mdada ukijoin groups tofaut na zetu ukatapeli huko sisi huku kwetu tutakupunguza hatuwez kuchafuliwa group au kushughulikia kesi isiyotuhusu..hatutosikiliza kitu ni remove
[emoji117]ukilipia video call mteja ukakaa kwenye giza pesa itachukuliwa na haitarudishwa ..vaa ata kitu kuficha uso kama hutaki kuonekana..jee mkirundikana kwenye giza weng mtu atajuaje
[emoji117]ukimnyandua mdada ukapenda huduma yake msifie inbox kwake mpaka upewe bure[emoji38]...kucomment kwenye group inaleta ukakasi kufanya wengine wajisikie vibaya kumbe wanat*mbwa na wasiopenda kucomment ila wako vzr tu.
ukiropoka tu..tunachange permission yako..hutoeza kucomment kwa week nzima na kurudi ni 3000...ukiwa mropokaji sugu uta R.I.P
classic team uaminifu is back[emoji182]
team ya uaminifu iko juu pinned
Chochea moto shemeji[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Maumivu ya kutapeliwa mahari yanauma sana yaani. Kaa mbali na Nsamaka please. Miaka 70+ sijawahi kuona mtu anatoa siafu dume akidai ni mahari...[emoji16][emoji16][emoji16]
Umeshaangalia email yako? Nilijaribisha mambo huko tangu wiki jana. Mkweche wangu wa TECNO ulinigomea eti mafaili makubwa.
Jaribu huko halafu unipe mrejesho.
Usiku wa kula vinono [emoji13][emoji13][emoji13]View attachment 1468149