myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mliotoka kazini poleni...
Mungu amlipe zaidi na zaidiInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Pumzika shekh Issa bin Shekhan
Asha'adhily.
Mwalimu wa walimu kwenye fani ya dini, uliyefundisha magwiji wenye majina hivi sasa.
Mwenyezi Mungu akujaalie pepo [emoji120][emoji120]View attachment 1468320
Wakulima poleni sana
Mungu amlipe zaidi na zaidi
Mungu atupe afya na uzima. [emoji120] [emoji120]
Mungu awaponye wagonjwa wote..
Muone [emoji51][emoji51][emoji51]Asante sana kiongozi, majukumu ya kuzalisha vyakula yanaendeleaView attachment 1468598View attachment 1468599