Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ushapigwa [emoji16][emoji16][emoji16]
2.3235522567562583E18.jpg
 
Kumbe ni wewe hizi picha zinakuumiza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani picha zake zote mazao yamenenepeana, mimi huku kijijini migomba majani yake yana rangi ya kipilipili!!
Anaweza akakufanya uende Kibaha kutafuta mashamba ujitose kwenye tikiti halafu hujakaa sawa mwenzio huyu hapa na kiganja kimejaa mialmasi au yuko zake kwenye maporomoko safi ya maji mbugani amezungukwa na wanyama wa kila aina anakula bata na watalii huku wewe tikiti limekudodea halina mnunuzi. Hafai [emoji16]
 
Back
Top Bottom