Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kumbe ni wewe hizi picha zinakuumiza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Muone [emoji51][emoji51][emoji51]
Shemeji,habari ya majukumu?Muone [emoji51][emoji51][emoji51]
Muone [emoji51][emoji51][emoji51]
Inasemekana wote wanagombea
View attachment 1468681
Ushapigwa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1468682
Kumbe ni wewe hizi picha zinakuumiza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani picha zake zote mazao yamenenepeana, mimi huku kijijini migomba majani yake yana rangi ya kipilipili!!
Kumbe ni wewe hizi picha zinakuumiza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani picha zake zote mazao yamenenepeana, mimi huku kijijini migomba majani yake yana rangi ya kipilipili!!
Pumbavu sana, wajibu hoja za kuua mtu mwenye afya njema, waache porojo za korona.
Ebho.
Kama ni Corona huku kwetu mpaka papai, fenesi na mbuzi vyote vina Corona na bado vina afya njema[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli sisi tulitia fora japo ilitusaidia sana kupunguza hofu
Anaweza akakufanya uende Kibaha kutafuta mashamba ujitose kwenye tikiti halafu hujakaa sawa mwenzio huyu hapa na kiganja kimejaa mialmasi au yuko zake kwenye maporomoko safi ya maji mbugani amezungukwa na wanyama wa kila aina anakula bata na watalii huku wewe tikiti limekudodea halina mnunuzi. Hafai [emoji16]Kumbe ni wewe hizi picha zinakuumiza[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yaani picha zake zote mazao yamenenepeana, mimi huku kijijini migomba majani yake yana rangi ya kipilipili!!
Nitakuja kutoa ufafanuzi. Itakubali tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Shemeji,habari ya majukumu?
Nashukuru sana nimefika kule, ila imegoma.
Samahani kwa usumbufu